Top Stories

Mazoezi ya kivita ya JWTZ ya kutumia mizinga (+video)

on

Haya yote yamejiri katika Eneo la msata Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani wakati wa hitimisho la zoezi la Medani lililopewa jina la Exercise Pima uwezo ambapo Askari na Maafisa kutoka Kikosi cha Mizinga cha 942 wameonesha umahiri na uzoefu mkubwa wa kutumia mizinga katika uwanja wa vita.

Akifunga zoezi hilo Mkuu wa Shule ya Mizinga SOFA Arusha, Brigedia Jenerali Moses Gambosi amesema na kuweka msisitizo kwa Askari na Maafisa wote walioshiriki zoezi hilo kuwa mstari wa mbele kulinda amani ya nchi.

BABA WA MWANAFUNZI ALIEUAWA KISA MAPENZI CHUONI AONGEA “NDIO MSOMI PEKEE KWETU, TULITAKA ATUTUNZE”

Soma na hizi

Tupia Comments