Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mazungumzo ya ukomo wa deni yadorora,wabunge waondoka bila makubaliano
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mazungumzo ya ukomo wa deni yadorora,wabunge waondoka bila makubaliano
Top Stories

Mazungumzo ya ukomo wa deni yadorora,wabunge waondoka bila makubaliano

May 26, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Makubaliano ya kikomo cha deni bado hayajakaribia kwa  White House huku wabunge wakiondoka katika mji mkuu wa taifa na hatari ya kutolipa malipo kwa mara ya kwanza, bila mswada wa kupigia kura, wabunge wanaondoka  ingawa watapewa notisi ya saa 24 ili kurejea ikiwa na wakati makubaliano yatafikiwa.

Rais wa Marekani Joe Biden alisema Alhamisi kwamba mazungumzo na wabunge wa chama cha Republican ya kuongeza kikomo cha kukopa cha serikali ya Marekani, na kuweka viwango vya matumizi ya siku zijazo, yanakwenda vizuri, huku akiwahakikishia Wamarekani kwamba serikali  haitakwepa wajibu wake.

Wafanyakazi wa White House ambao hushughulikia masuala ya bajeti, waliendelea na mazungumzo na wawakilishi wa Spika wa baraza la wawakilishi, Mrepublican Kevin McCarthy, katika hatua za mwisho mwisho za kukagua maudhui ya makubaliano hayo,.

Hata hivyo, hakuna makubaliano yoyote yaliyotangazwa wakati wabunge walianza kuondoka Washington, kwelekea wikendi ya sikukuu ya kila mwaka ya kuwakumbuka wanajeshi wa Marekani waliopoteza maisha yao wakati wakilitumikia taifa.

Baraza la Wawakilishi linalodhibitiwa na chama cha Republican halijapangiwa kurejea hadi Jumanne – siku mbili tu kabla ya Juni mosi, tarehe ambayo waziri wa fedha, Janet Yellen, anasema serikali inaweza kukosa pesa, ili kutimiza majukumu yake ikiwa kikomo cha deni la $ 31.4 trilioni hakitaongezwa, ili serikali iweze kukopa pesa zaidi.

You Might Also Like

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA May 26, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mke wa Rais wa ZNZ akutana na Mama ya mfalme wa Qatar Tamir Bin Hamad Al Thani
Next Article Rapa Kodak Black aachia Albamu yake mpya ‘Pistolz & Pearlz’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?