AyoTV

Karibu Mbeya 2016.. karibu soko jipya la kisasa Mwanjelwa

on

AyoTV inaendelea kukukutanisha na Tanzania, leo inakusogeza kwa karibu ulione soko jipya la Mwanjelwa lililopo Mbeya, ni soko lililojengwa kisasa na mpangilio wa kisasa wa kufanya biashara… unaweza kutazama hii video hapa chini wakati tukiisubiria FIESTA MBEYA kesho October 16.

ULIIKOSA YA MKUU WA MKOA MBEYA KUHUSU ILE SHULE ALIKOPIGWA MAKOFI MWANAFUNZI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

MWANAFUNZI ALIYEPIGWA NA WALIMU MBEYA DAY ASIMULIA… BONYEZA PLAY HAPA CHINI….

Soma na hizi

Tupia Comments