Habari za Mastaa

MBASHA: “Kwa Mungu Flora bado ni Mke wangu, Mtoto aliyemzaa ni mwanangu pia”

on

Muimbaji wa nyimbo za injili nchini Emmanuel Mbasha amezungumza na AYO TV na millardayo.com na sehemu ya maswali aliyoulizwa ni pamoja na la kujifungua mtoto mwingine kwa aliyekuwa mke wake wa zamani Madam Flora.

Mbasha kwenye kulijibu swali hilo amesema kwamba “kwa Mungu Flora bado ni mke wake kwa hiyo hata mtoto aliyemzaa ni mwanae” licha ya kwamba kazaa na mwanaume mwingine aliyefungua naye ndoa.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama MBASHA akiongea.

EXCLUSIVE: Aliyoyazungumza msanii Ibranation kuhusu muziki wake

Fundi TV: TV za chogo vs flat screen ??

Soma na hizi

Tupia Comments