Top Stories

VideoFUPI: Freeman Mbowe akiingia Mahakama kuu DSM leo

on

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe leo February 21 2017 amefika Mahakama kuu Dar es salaam kwenye kesi yake dhidi ya dhidi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, Kamishna Simon Sirro na ZCO Wambura.

Baada ya kesi viongozi wa CHADEMA pamoja na Wanasheria watazungumza na Waandishi wa habari hapahapa Mahakamani kuhusu tukio la jana la Freeman Mbowe kushikiliwa Polisi hadi saa 7 usiku alipoachiliwa kwa dhamana baada ya kupekuliwa nyumbani kwake na kutakiwa kuripoti tena Jumatano wiki hii.

Vilevile watazungumza kuhusu kesi hii ya kikatiba namba 1 ya 2017, unaweza kutazama hii video fupi hapa chini Freeman Mbowe akiingia Mahakamani leo.


“Unapotangaza mtu aje Polisi saa 5, wewe ni nani?FREEMAN MBOWE…. Bonyeza play hapa chini kutazama full video

VIDEO: Rais Magufuli tena kuhusu sakata la dawa za kulevya na agizo jipya kuhusu Watanzania waliofungwa kwa dawa za kulevya nje ya nchi

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments