Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Sababu za MC PILIPILI kulia mbele za watu “Nimewanyang’anya demu” (+video)

on

Miongoni mwa tukio kubwa lililofanyika January 5, 2019 ni pamoja na staa wa vichekesho nchini Emmanuel Mathias maarufu kama MC PILIPILI alipomwaga machozi wakati akimvalisha pete ya uchumba mpenzi wake.

AyoTV imepata nafasi ya kufanya Exclusive Interview na MC PILIPILI ambaye amefunguka sababu iliyopelekea yeye kulia mbele ya umati wa watu.

JANUARY MC PILIPILI KAMVISHA PETE MCHUMBA AKE HUKU AKILIA

Soma na hizi

Tupia Comments