AyoTV

VIDEO: Majibu ya Waziri Nchemba kuhusu Askari waliowapiga Walemavu

on

Baada ya kusambaa video clip kupitia mitandao ya kijamii ikionesha Askari Polisi DSM wakiwatawanya walemavu ambao waliandamana na kufunga barabara wakienda kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala.

Leo June 20, 2017 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba alitolea ufafanuzi wa tukio hilo baada ya kuulizwa swali na Mbunge wa Viti Maalum CCM Stellah Alex aliyehoji sababu za Askari hao kufanya tukio hilo.

TFDA imezindua Huduma mpya kwa ajili ya Watanzania

Soma na hizi

Tupia Comments