Top Stories

VIDEO: Waziri Nchemba karudi Jimboni kwake na maamuzi mapya

on

Waziri wa Mambo ya Ndani ambeye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi, amerudi Jimboni kwake na kuelezea mpango wa kujenga kituo kikubwa cha kisasa cha huduma za afya kutokana na changamoto kubwa ya huduma hiyo katika maeneo mbalimbali jimboni humo. Full video tayari nimekuwekea hapa chini…..

WATU WASIOJULIKANA: Waziri Mwigulu aongea

Soma na hizi

Tupia Comments