Staa wa Timu ya Taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe amekataa mapumziko ya siku 10 aliyopewa na club yake ya PSG kutokana na kucheza fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Argentina.
Ufaransa wamecheza fainali ya Kombe la Dunia Jumapili iliyopita, wachezaji kwakuwa Ligi bado zinaendelea kutokana kuwa zilisimama katikati ya msimu.
Mbappe ameamua kurejea mapema zaidi leo na kuanza mazoezi licha ya kuwa amepewa ruhusa ya siku 10 za mapumziko, hadi sasa Mbappe ndio mchezaji aliyecheza fainali ya Kombe la Dunia na kuwasili mapema zaidi katika club yake.