Top Stories

Mbarawa awabana Wakurugenzi “Mmefukuza wote nimefurahi sana MUNGU mkubwa” (+video)

on

Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa ameiagiza Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Mbeya kuendeleza ujenzi wa miradi ya maji Mkoa wa Songwe iliyochelewa kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya kuwanyang’anya Wakandarasi waliokiuka mikataba ya ujenzi.

Agizo hilo amelitoa Mkoani Songwe wakati wa ukaguzi wa miradi inayotekelezwa na serikali kupitia fedha za ndani ambapo ikikamilika wananchi wa Mkoa wa Songwe wataondokana na adha ya ukosefu wa maji.

“TUNAFURAHA NDOA ZIPO SALAMA, SIO WAKINA MAMA TU! HATA WABABA”,

Soma na hizi

Tupia Comments