Top Stories

Mbaroni kwa kujifanya Afisa wa TAKUKURU “anaomba pesa Wananchi” (+video)

on

Taasisi ya Kuzia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kigoma inakabiriwa na changamoto ya uwepo wa watu wanaojitambulisha kuwa ni Maafisa wa Taasisi hiyo na kuwatapeli wananchi kinyume cha sheria.

Akitoa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kigoma Nestory Gatahwa amesema changamoto hiyo inazidi kushamiri katika baadhi ya maeneo ya Mkoa huu na hivyo wanachi wanatakiwa kutoa ushirikiano ili kukomesha suala hilo kufuatia changamoto.

“CORONA IMEISHA TUTAFUNGUA SHULE ZA MSINGI NA CHEKECHEA HIVI KARIBU” RAIS MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments