Ad
Ad

AyoTV

VIDEO: Matatu aliyoyasema Waziri Nchemba kwa Jeshi la Polisi Nchini

on

March 27, 2017 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba alikuwa Dodoma kuzindua mkutano wa mwaka wa Maafisa Wakuu wa Jeshi la Polisi mwaka 2017 ambapo katika hotuba yake Waziri Nchemba alizungumzia mkakati wa Serikali kutatua changamoto zinazowakabili askari Polisi ikiwemo vitendea kazi.

Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

VIDEO: Mkudesimba na Stan Bakora Ibadani kwa Askofu Gwajima leo 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments