Top Stories

RC Mwanri aanzisha vita na Walevi “Pombe ina darubini, ulevi ulipojenga nchi!” (+video)

on

January 3, 2018 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amesema atawachukulia hatua za kisheria wanaume wote wanaotelekeza Familia zao wakati wa fedha za mavuno.

“Unataka kututambia hela niza kwangu,nke ni wa kwangu na watoto ni wa kwangu mi sili kwako na nini weeee nyamaza kabisa RC Mwanri, Mimi nabeba dhamana ya kuwaangalia na maelekezo ya kisheria na kimamlaka” Aggrey Mwanri

RC MWANRI ANAFUNGA MWAKA “TUTOBOE, UBONGO LAZIMA USIMAMIWE, UKIPIGWA CHENGA UMELIWA”

Soma na hizi

Tupia Comments