Top Stories

Mwanzo mwisho vilio vyatawala mazishi ya Mtoto alietekwa na kunyongwa Mbeya (+video)

on

Jioni ya April 15, 2019 Mwili wa Mtoto Junior Bakari Siame mwenye umri wa miaka 8 ambae alitekwa na kunyongwa na Mtekaji ambae alitaka Wazazi wampe Milioni 10 amuachie umezikwa Mkoani Mbeya.

BABA ASIMULIA MTOTO WAKE ALIVYOTEKWA NA KUNYONGWA MBEYA, MTEKAJI ALITAKA MILIONI 10

Soma na hizi

Tupia Comments