Top Stories

Alichofanya Dr. Tulia baada ya jamaa kutelekeza mapacha Mbeya

on

Inawezekana kabisa wakati huu ambao wewe unaweza kujipatia mahitaji yako muhimu ya kila siku lakini wapo baadhi ya watu wengine wakiwemo watoto ambao hawaijui hatma ya kesho yao kutokana tu na ugumu wa maisha yanayowakabili, upo usemi usemao kwamba kutoa ni moyo na wala sio utajiri na leo hii Naibu Spika Dr. Tulia Ackson ameamua kuuonesha kwa watoto wawili mapacha waliotelekezwa na baba yao ambapo ameahidi kuwasomesha shule kwa gharama zake mwenyewe .

Mzee Sumaye Amjia Juu RC Makonda ”Akumbushia Makontena”

Soma na hizi

Tupia Comments