Top Stories

Mbinu za Kijeshi kumchanganya adui na helcopter kabla ya kutua (video+)

on

Jeshi la ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ kwa kushirikisha Vikosi vya usafirishaji wa anga, Shule ya mafunzo ya huduma SMH Pangawe na Shule ya mafunzo ya awali ya kijeshi RTS Kihangaiko, limeendelea na mazoezi makali kwa Askari wake kupitia kozi ya Maafisa wateule kundi la 03/21.

MUME WA MIAKA 51 AMUUA MKE WA MIAKA 47 “ALITEMBEA NA MWANAKIJIJI”

 

Tupia Comments