Top Stories

VIDEO: Lowassa, Sumaye, Wafuasi wa CHADEMA walivyojitokeza nje ya Mahakama

on

Leo March 29, 2018 Wafuasi wa CHADEMA wamejitokeza katika Mahakama ya Hakimu Kisutu ili kushuhudia kesi ya Viongozi wakuu wa Chama hicho, mbali na Wafuasi hao Mawaziri wakuu wastaafu Edward Lowassa pamoja na Fredick Sumaye waliudhuria mahakamani hapo.

AyoTV na millardayo.com tumekuwekea Video muonekano wa nje ya Mahakama na ndani, bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

MAZISHI YA ALLEN: Baba Mzazi ameeleza alichoambiwa na Mwanae kabla ya kufariki

Soma na hizi

Tupia Comments