Top Stories

PART 2 MAUMIVU & VILIO: Uchungu wa kuoza kizazi, umaskini, kulazwa (+video)

on

Ni muendelezo wa stori ya Binti Asia Patrick alizaliwa akiwa na viungo vyake vyote vya mwili lakini baada ya kupata ujauzito na kutoka ikawa sababu ya kukatwa miguu yake yote, vidole tisa vya mikono yake pamoja na kutolewa kizazi.

AyoTV na millardayo.com imezungumza na Asia Patrick mwenye miaka 18, kwa sasa na ameeleza aliyoyapitia hadi kufikia kukatwa miguu yake na kutolewa kizazi.

PART 1: INASIKITISHA: BINTI ALIEKATWA MIGUU YOTE, VIDOLE 9 NA KUTOLEWA KIZAZI

Soma na hizi

Tupia Comments