Top Stories

RC Mwanri awaibukia waliofunga ndoa na Mwanafunzi “mnoko chikichii nimewasukumia ndani” (+video)

on

RC wa Tabora Aggrey Mwanri kupitia kikao kazi cha Chama cha Walimu Tanzania CWT Mkoa wa Tabora amewataka Viongozi wote kusimamia nidhamu ya kazi na kutoa motisha kwa Walimu ili kusaidia mwamko wa elimu kwa jamii ya Mkoa huo.

“Imefika mahali wanatuita wanoko potelea mbali, Mwalimu ni mtu ambaye ana heshima kubwa katika jamii kama tukimuta kwenye mauza uza huko hatutomuelewa mara Watoto alopewa awalee amewageuza kuwa wake zake” RC Mwanri

VIFO VYA KUJIRUSHA GHOROFANI VYAMPELEKA NABII ANAEGAWA SHILLAH MWANZA

 

Soma na hizi

Tupia Comments