Top Stories

Mabaunsa wawatoa Wanafunzi wakike kwa nguvu Hostel “ana visenti anaonea watu” (+video0

on

Leo July  4, 2019 Wanafunzi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii wametolewa vyombo vyao nje baada ya hosteli waliyokuwa wakiishi jirani na Chuo hicho, kilichopo Kijitonyama kudaiwa kuuzwa.

AyoTV na millardayo.com tumezungumza na Wanafunzi pamoja na Mmiliki wa nyumba hiyo ambapo wametuelezea tukio zima.

Nyumba ya Milioni 78 ilivyobomolewa ndani ya dakika 5

Soma na hizi

Tupia Comments