Habari za Mastaa

Exclusive:Sikiliza wimbo mpya wa Mb Dogg unaoitwa Umenuna

on

dogUnapolitaja jina la Mb Dogg au Dogg Man tayari unajua ni nani anayezungumziwa ambaye kwa kipindi cha nyuma hit kama Latifa,Mapenzi kitu gani,Inamaana na zingine nyingi zilimueka kwenye headline na kuzungumziwa kila mara.

Kimepita kimya kirefu bila kusikika,na wengi hawajaju nini kilichomfanya awe kimya,kwa sasa karudi na jibu la ukimya wake kwa wimbo wake huu mpya unaoitwa Umenuna.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments