Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Top Stories

Mahojiano ya Lissu BBC yamuibua Mkurugenzi TIC “unajishuti mwenyewe” (+video)

on

Mkurungenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Geofrey Mwambe, amesema Mbunge Tundu Lissu akirejea nchini atakutana naye kumjengea uelewa zaidi wa masuala ya uwekezaji badala ya kufanya upotoshaji wa mambo yanayofanywa na serikali ya Rais John Magufuli.

RC MWANRI ‘ALIVYOMKABA KOO’ MASSAWE “TUMENUSA HARUFU YA RUSHWA”

Soma na hizi

Tupia Comments