Top Stories

Mbowe afikishwa Mahakamani

on

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wamefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uhujumu kwa ajili ya kesi yao ya Uhujumu Uchumi na Ugaidi kuendelea na ushahidi.

Shauri la Mbowe namba 16/2021 linasikilizwa mbele ya Jaji Mustafa Siyani ikiwa ni kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi.

Mbali na Mbowe, washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni Halfan Bwire, Hassan Adam Kasekwa na Mohammed Abdillah Lingwenya.

#LIVE MAREKANI: RAIS SAMIA ANAHUTUBIA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA (UN)

Soma na hizi

Tupia Comments