Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mbowe afunguka “Mapambano haya ni kupigania uhai wa watu” (video+)
Share
Notification Show More
Latest News
Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani
August 12, 2022
Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo
August 12, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022
August 12, 2022
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mbowe afunguka “Mapambano haya ni kupigania uhai wa watu” (video+)
Top Stories

Mbowe afunguka “Mapambano haya ni kupigania uhai wa watu” (video+)

March 18, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Ni Machi, 18, 2022 ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe anazungumza na vyombo vya habari muda huu.

“Nimekua gerezani kwa muda mrefu lakini nimejifunza sana. Niwahakikishe watanzania na dunia yote kwamba sikupoteza zile siku. Nimezitumia kujiimarisha kifikra, kimtazamo na hata moyo wangu umebadilika sana.”- Mbowe

“Nawaomba wanaChadema wenzangu tusiwe na chuki na yeyote katika mapambano haya kwa sababu mapambano haya ni kupigania uhai wa watu, ni kupigania ustawi wa watu. Kamwe hatuwezi kutafuta ustawi wa watu wakati tunatafuta visasi. Visasi sio utamaduni wa chadema,sio utamaduni wa Mbowe“- Mbowe

“Nililetewa salamu za mheshimiwa Rais kwamba angependa kukutana na mimi mapema iwezekanavyo.Mtakumbuka kwa muda mrefu sisi kama chama tulitaka kuzungumza na Rais tukiamini kwamba ana majibu ama ana ufunguzi wa mambo mengi yanayolisibu taifa”- Mbowe

Kwa bahati mbaya hatukupata nafasi ya kukutana nae hadi ninakwenda gerezani. Kwa hiyo nikiwa gerezani siku natoka nikaambiwa kwamba mheshimiwa Rais angependa kukuona haraka. Nimetoka gerezani kwa moyo mweupe, wala sikutoka na kiburi, cha kwamba naweza nikapuuza mualiko wa Rais’- Mbowe

LIVE: MBOWE ANAONGEA “NIMETOKA GEREZANI KWA MOYO MWEUPE, KATIBA NI AJENDA YETU, SISI SIO MAGAIDI”

HARMONIZE AFIKA CHATO, ASHIRIKI KUMBUKIZI YA HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI

 

You Might Also Like

Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani

TAGGED: Mbowe
Edwin TZA March 18, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Live:CCM Wanazungumza na waandishi wa habari muda huu
Next Article Nukuu za Mbowe akizungumza na waandishi wa habari Machi 18, 2022
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani
Entertainment August 12, 2022
Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo
Top Stories August 12, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022
Magazeti August 12, 2022
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
Sports August 11, 2022

You Might also Like

Sports

Kauli ya Simba SC baada ya Tundaman kuingia na Jeneza ‘Simba day’ uwanja wa Mkapa

August 10, 2022
Sports

Picha 19: Uzinduzi wa Jezi mpya za Simba SC, Mashabiki wafurika Dukani DSM

August 7, 2022
Sports

Simba wafunga usajili kwa kishindo, washusha mshambuliaji kutoka Ulaya

August 7, 2022
Sports

Manara amuingiza Hersi kwenye 18 za TFF

August 7, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?