Top Stories

Mbowe alivyofikishwa Mahakamani (+video)

on

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo kwa ajili ya kesi inayowakabili ya mashitaka mawili ikiwemo tuhuma za Ugaidi.

Itakumbukwa jana August 5, 2021 kesi hiyo ambayo upelelezi umekamilika ilishindwa kuendelea mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kutokana na changamoto ya kimtandao wakati ilipotaka kuendeshwa njia ya mtandao (Video Conference).

Soma na hizi

Tupia Comments