Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mbowe na Tundu Lissu ndio vigogo CHADEMA, washinda kwa kishindo (+video)
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
March 27, 2023
Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mbowe na Tundu Lissu ndio vigogo CHADEMA, washinda kwa kishindo (+video)
Top Stories

Mbowe na Tundu Lissu ndio vigogo CHADEMA, washinda kwa kishindo (+video)

December 19, 2019
Share
1 Min Read
SHARE

Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, amechaguliwa kuongoza kiti cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kupata ushindi wa kishindo kwa kupigiwa kura 886 na kumburuza mgombea mwenzake, Cecil Mwambe aliyepata kura 56 pekee.

Matokeo ya Uchaguzi huo yametangazwa leo na Msimamizi wa Uchaguzi huo Sylvester Masinde, kufuatia uchaguzi uliofanyika usiku wa kuamkia leo.

“Bwana Cecil Mwambe amepata Kura 59 sawa na asilimia 6.2, Freeman Aikael Mbowe amepata kura 886, sawa na asilimia  93.5, Kura zilizoharibika ni tatu kwa matokeo haya napenda kumtangaza Freeman Mbowe, kama Mwenyekiti wetu wa chama wa awamu inayokuja”  Sylvester Masinde.

Aidha katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara, imechukuliwa na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Tundu Lissu, huku nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar, ikichukuliwa na Said Issa Mohammed.

MPINZANI WA LISSU: ”MIMI NI FUNDI WA CHENGA, LISSU KAFUNGA MAGOLI”

You Might Also Like

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA December 19, 2019
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 19, 2019
Next Article VIDEO: Alikiba na Christian Bella walivyozindua video ya wimbo wao mpya
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Top Stories March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Top Stories March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

March 27, 2023
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Top Stories

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

March 27, 2023
Top Stories

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

March 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?