Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mbowe, wenzake wagoma kusomewa mashtaka, waibua hoja nyingine (video+)
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Rais wa Yanga na GSM Foundation wawafariji Wananchi wa Katesh wilayani Hanang ‘Waathirika wa Mafuriko’
December 5, 2023
Wapalestina 50 walimepotiwa kuuawa siku ya leo Jumanne
December 5, 2023
Nilikosolewa vikali nchini kwangu Argentina kwa kushindwa kunyakua taji-Messi
December 5, 2023
Ali Al Bulayhi huenda akafungiwa mechi moja kwa maneno machafu
December 5, 2023
Marekani itakataa kutoa viza kwa maafisa wa Uganda wanaotekeleza sheria dhidi ya LGBT+
December 5, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mbowe, wenzake wagoma kusomewa mashtaka, waibua hoja nyingine (video+)
Top Stories

Mbowe, wenzake wagoma kusomewa mashtaka, waibua hoja nyingine (video+)

September 1, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wameomba wasisomewe mashitaka yanayowakabili katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu kutokana na madai kwamba hati ya mashitaka ina mkanganyiko.

Hatua hiyo inakuja baada ya Mahakama hiyo mbele ya Jaji Elineza Luvanda kutupilia mbali pingamizi la washitakiwa hao la kutaka kuachiwa huru katika kesi ya Uhujumu Uchumi na Ugaidi ambalo waliwasilisha August 31, 2021 kupitia Wakili Peter Kibatala.

Miongoni mwa hoja mpya za leo tatu wamedai kwamba hati ya mashitaka haijaeleza kama wana nia ya kufanya ugaidi, kujirudia kwa makosa katika hati ya mashitaka na makosa ya ugaidi hayawezi kuchanganywa na ya kula njama.

Kesi imeahirishwa hadi Septemba 3, 2021 kwa ajili ya mahakama kutoa uamuzi baada ya Upande wa Mashitaka kuomba muda kuwasilisha majibu yao.

TAZAMA KILICHOIJIRI LEO KATIKA KESI YA MBOWE  MAHAKAMA YA MAFISADI 

You Might Also Like

Picha: Rais wa Yanga na GSM Foundation wawafariji Wananchi wa Katesh wilayani Hanang ‘Waathirika wa Mafuriko’

Wapalestina 50 walimepotiwa kuuawa siku ya leo Jumanne

Marekani itakataa kutoa viza kwa maafisa wa Uganda wanaotekeleza sheria dhidi ya LGBT+

Vita dhidi ya watoto ‘kila kukicha’ kusini mwa Gaza-UNICEF

Zaidi ya Wapalestina 15,900 waliuawa – waziri wa afya wa Palestina

TAGGED: Mahakamani, Mbowe
Edwin TZA September 1, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article EXCLUSIVE: Mambo 10 kuhusu kiwanda kinachounda magari ya Volks Wagen Rwanda
Next Article Picha:Prof Tibaijuka, Mongella wakutana na wasichana wabobezi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Rais wa Yanga na GSM Foundation wawafariji Wananchi wa Katesh wilayani Hanang ‘Waathirika wa Mafuriko’
Top Stories December 5, 2023
Wapalestina 50 walimepotiwa kuuawa siku ya leo Jumanne
Top Stories December 5, 2023
Nilikosolewa vikali nchini kwangu Argentina kwa kushindwa kunyakua taji-Messi
Sports December 5, 2023
Ali Al Bulayhi huenda akafungiwa mechi moja kwa maneno machafu
Sports December 5, 2023

You Might also Like

Top Stories

Wapalestina 50 walimepotiwa kuuawa siku ya leo Jumanne

December 5, 2023
Sports

Nilikosolewa vikali nchini kwangu Argentina kwa kushindwa kunyakua taji-Messi

December 5, 2023
Top Stories

Marekani itakataa kutoa viza kwa maafisa wa Uganda wanaotekeleza sheria dhidi ya LGBT+

December 5, 2023
Top Stories

Vita dhidi ya watoto ‘kila kukicha’ kusini mwa Gaza-UNICEF

December 5, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?