Top Stories

PICHA 9: Waombolezaji wakiwaaga Maria na Consolata

on

Leo June 6, 2018 Nakusogezea Picha 9 za waombolezaji mbalimbali akiwemo Waziri Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.  Joyce Ndalichako wakitoa heshima za mwisho kwa Miili ya Maria na Consolata.

 

Baba ….. ‘Baba njoo utuone kabla hatujafa’ Maria na Consolata

Soma na hizi

Tupia Comments