Habari za Mastaa

Mabeste, Lisa kuwatumia mastaa wa nje kuutangaza Utalii wa Tanzania

on

Sekta ya Utalii ni moja ya sehemu ambayo huliingizia Taifa pato kubwa ambapo licha sekta hiyo kudaiwa kutokuwa na mbinu mbadala kuitangaza lakini bado imeendelea kusimamia vivutio mbalimbali.

Mwimbaji kutoka Bongoflevani Mabeste na mke wake Lisa ‘Mama Kedrick’ wameelezea mipango yao kuhakikisha wanakuwa sehemu ya kuutangaza Utalii wa Tanzania hasa baada ya siku za hivi karibuni kushuhudia mastaa kadhaa wa soka Duniani wakitembelea Tanzania ambapo kupitia project ya PIGA KAMBI wana mpango wa kuwaleta mastaa wakubwa kama Beyonce na Rihanna ili kuutangaza Utalii.

FULL VIDEO hii hapa…bonyeza PLAY kutazama!!!

VIDEO: Usiku wa Birthday ya mtoto wa Alikiba ‘Kiba Junior’

Soma na hizi

Tupia Comments