Top Stories

Ukweli jengo la Quality Center kuvamiwa “kuna mtu anatest zari” (+video)

on

Leo July 11, 2019 Kamanda wa Kanda Maalum ya DSM Lazaro Mambosasa amezungumzia taarifa za Jengo la Quality Center kuvamiwa na Majambazi, ‘Ni kweli nina taarifa nilikuwa naenda nimerudishwa njiani, sijui nani anataka kutest zari, alikuwa ni Mhalifu alipoona Askari akakimbilia Benki huku akiita Polisi wezi”

LIVE: KAMANDA MAMBOSASA ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Soma na hizi

Tupia Comments