Kiongozi wa zamani wa FDC, Dkt. Kizza Besigye ameanguka toka kwenye dari la gari lake baada ya Polisi kummwagia maji kwa kutumia gari wakimtaka atii amri yao kuondoka.