Michezo

Unakumbuka ile mishemishe mapokezi ya Mbwana Samatta baada ya ushindi wa Afrika? (+Video)

on

Staa wa soka kutoka Mbagala Dar es Salaam, Mbwana Samatta ameteka vichwa vya habari kila kona Tanzania na nje ya mipaka baada ya kutangazwa kuwa mchezaji bora wa soka Afrika kwa mwaka 2015.

Ushindi huo aliupata Nigeria, akatua na Tuzo mkononi usiku wa manane Uwanja wa ndege JNIA Dar es Salaam lakini zile mishemishe kwenye mapokezi yake unaweza kujikumbusha hapa mtu wangu.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ytiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments