Top Stories

BREAKING: Michael Wambura aachiwa huru

on

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania(TFF), Michael Wambura baada ya kuingia makubaliano na Jamhuri ya kulipa zaidi ya Sh.Mil 100 ambazo alijipatia isivyo halali.

Hata hivyo, Wambura atazilipa fedha hizo kwa awamu tano ambapo leo amelipa Mil.20.

Wambura amefikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza, Februari 11, mwaka huu 2019, akikabiliwa na mashtaka 17 yakiwemo ya kutakatisha fedha zaidi ya Sh.Mil 100, katika kesi ya uhujumu uchumi namba 10/2019.

Wambura ameachiwa huru na Hakimu Mfawidhi, Kelvin Mhina.

ia wasiwasi wao wakuondolewa kwenye hifadhi ya Ngorongoro kwenye vijiji tisa nakuomba ufanyika upembuzi kwani suala hilo linaonekana kuingiliwa.

DIWANI WA CHADEMA “MAGUFULI KUSUDI LA MUNGU, MHESHIMU KAMA MUMEO”

Soma na hizi

Tupia Comments