AyoTV

Ushauri wa Mbunge wa Kilindi kuhusu migogoro ya Ardhi (+Video)

on

Bunge la Bajeti linaendelea Dodoma huku Wabunge wakiendelea kuchangia Bajeti za Wizara mbalimbali ambapo Mbunge wa Kilindi Omari Kigua ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia mapendekezo katika Wizara ya Ardhi na moja kati ya vitu alivyozungumzia ni migogoro ya wakulima na wafugaji.

VIDEO: Waziri ataja mikakati ya Wizara kupambana na changamoto za ardhi 

Soma na hizi

Tupia Comments