Top Stories

Mbunge aliedai Wahudumu wa ATCL hawana mvuto aomba msamaha

on

Mbunge wa Kigoma Kusini (CCM), Mhe. Husna Mwilima leo Bungeni ameomba radhi shirika la Ndege na Watanzania waliokwazika na kauli yake aliyosema Bungeni tarehe 7/11/2019 kwa kusema Wahudumu wa Ndege ya ATCL (Air hostess) hawana mvuto. (Hii video aliposema kauli hiyo Bungeni.

HIVI NDIVYO UJENZI WA CHELEZO YA MELI ULIVYOSHIKA KASI MWANZA, BILIONI 36 KUTUMIKA

Soma na hizi

Tupia Comments