Mbunge wa Viti Maalum Zainabu Katimba ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuongezwa adhabu kuhasiwa Wanaume wanaobaka Watoto na Wanawake, kwa sababu baadhi ya vigezo/masharti ya kuthibitisha mtu aliyebakwa si rahisi hasa kwa Watoto.
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Balozi Agustine Mahiga amesema baadhi ya vigezo na kuachia Mahakama.
WAITARA AZOMEWA NA WAPINZANI BUNGENI, ISHU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA