Mbunge wa Jimbo la Manonga Mkoani Tabora Seif Gulamali amefanikiwa kupata Wafadhili kutoka Oman watakaojenga miundombinu ya Elimu ili kutimiza mpango wake wa kusomesha watoto watakao faulu kwenda Kidato cha Tano.
WAZIRI MKUU “HATUKATAZI MTU KUJA TANZANIA, ASIYE MWEMA ASIINGIE”