Top Stories

Mbunge Jerry Silaa agoma kusindikizwa na Askari kama Gwajima (Video+)

on

Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa amefika kuhojiwa katika Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, baada ya kufika kwenye langu la Bunge alikataa kusindikizwa na askari kama ilivyokuwa kwa Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima na baada ya mabishano na afisa mwandamizi wa usalama Bungeni, Peter Magati, Mbunge Slaa alikubali kuongozana na askari hao.

ASKOFU GWAJIMA ALIVYOTINGA BUNGENI DODOMA KUHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI

Soma na hizi

Tupia Comments