Ad
Ad

Top Stories

Mbunge Nditiye afariki dunia, Spika Ndugai aahirisha Bunge (+video)

on

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Nditiye alifariki wakati akipatiwa matibabu baada ya ajali ya gari aliyopata juzi eneo la Nanenane Nzuguni mkoani hapa.

Kutokana na kifo hicho, Ndugai ameahirisha shughuli za Bunge hadi kesho Jumamosi wakati itakapotolewa taarifa za taratibu za kuaga mwili na maziko.

 

Soma na hizi

Tupia Comments