Top Stories

Mbunge Sanga na wananchi kwenye ujenzi wa kivuko kinachounganisha vijiji viwili

on

Ni Septemba 29, 2021 ambapo Mbunge wa Makete, Mh Sanga akiwa na Diwani na wananchi wa Kijiji cha Luvurunge na Unyangogo wameendelea na ujenzi wa Kivuko Mto Luvanyina unaotenganisha Kijiji cha Ivilikinge na Luvurunge.

Inaelezwa kwa muda mrefu kivuko cha mto huu kiliwa sio salama,kuna wananchi wamepoteza maisha kwa kusombwa na maji.

Wakati wa kampeni 2020,Mbunge na Diwani waliahidi kuanza mchakato wa ujenzi wa kivuko hiki, ambapo hii leo Sanga amefika na kuanza kuchangia nguvu kazi pamoja na cement mifuko 20 kwa hatua ya kwanza.

.

.

.

.

.

.

MBUNGE FESTO SANGA BUNGENI “SERIKALI MTUPE MAJIBU LEO”

Soma na hizi

Tupia Comments