Top Stories

Mbunge Viti Maalum Martha Umbula afariki dunia

on

Mbunge wa Viti Maalum CCM, Martha Umbulla amefariki dunia jana Jumatano Januari 20, 2021 katika hospitali ya HCG Mumbai, India alikokuwa akipatiwa matibabu, amesema Spika Job Ndugai.

TAZAMA TRUMP ALIVYOONDOKA WHITE HOUSE NA HELIKOPTA NA KUAHIDI ATARUDI KWA NJIA NYINGINE

Soma na hizi

Tupia Comments