AyoTV

VIDEO: Swali la mbunge Goodluck Mlinga bungeni leo

on

Bunge la kumi na moja limeendelea tena na katika kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma leo September 9 2016 moja ya swali lililosikika ni pamoja na hili la kutoka kwa mbunge Ulanga Goodluck  Mlinga aliyehoji kuhusu mpango wa serikali kuboresha miundombinu ya barabara.

ULIMIS SITA WAMPINGA SPIKA BUNGENI, LOWASSA AITIKISA CUF

Soma na hizi

Tupia Comments