Top Stories

VIDEO: Mabishano ya Mbowe na Polisi Mahakamani

on

Leo April 17, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alifika Mahakamani Kisutu na Viongozi wengine wa Chama hicho kufatilia kesi inayowakabili, baada ya kuahirishwa Mbowe alitaka kuzungumza na waandishi wa habari lakini alizuiliwa na Askari Polisi.. tazama hii video hapa chini

VIDEO: ATACHOKIFANYA MTOTO ANTHONY AKIPATA MSHAHARA WAKE WA KWANZA

Soma na hizi

Tupia Comments