AyoTV

VIDEO: Gari lililomundoa kituo cha Polisi Freeman Mbowe leo jioni

on

Leo mchana Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alifika kwenye kituo cha Polisi kati Dar es salaam kutii wito wa kuhojiwa na Polisi kwenye sakata la dawa za kulevya baada ya jina lake kutajwa kwenye orodha February 8.

Baada ya kukaa kituoni hapo kwa zaidi ya dakika 60, Waandishi wa habari waliokua nje ya eneo hilo walishuhudia Mwenyekiti huyo akichukuliwa na Gari aina ya Land Cruiser iliyofatwa na magari mengine nyuma yake na kuelekea ambako Waandishi hawakufahamu mara moja.

Utaratibu huu wa kuwaondoa kituo cha Polisi kati ulifanyika pia kwa Askofu Gwajima na Mfanyabiashara Yusuph Manji ambapo baadae ilikuja kujulikana walipelekwa kwa Mkemia mkuu kupimwa kama wanahusika na utumiaji wa dawa za kulevya.

Endelea kukaa karibu na millardayo.com na AyoTV utaendelea kupata taarifa za kila kinachoendelea kwenye anga la Tanzania na nje ya Tanzania, hakikisha ume-Install APP ya “millardayo” pia kufollow Facebook, Twitter, Instagram na Snapchat kwa jina hilohilo la @millardayo ili upate kila BREAKING NEWS.

Video yenyewe ya gari lililomchukua Freeman Mbowe leo ndio hii hapa chini bonyeza play kuitazama

VIDEO: “Unapotangaza mtu aje Polisi saa 5 wewe ni nani? – MBOWE….. Tazama Full video kwa kubonyeza play hapa chini

VIDEO: Alichosema Yusuph Manji baada ya kutajwa kwenye orodha ya Paul Makonda sakata la dawa za kulevya, tazama kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments