Michezo

VIDEO: Goli la Mbwana Samatta dakika ya tatu dhidi ya Botswana

on

March 25 2017 Taifa Stars wamekutana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kwenye mechi ya kirafiki wa kimataifa dhidi ya Botswana, Mchezaji wa Genk ya Ubelgiji ameifungia Taifa Stars goli la kuongaza katika dakika tatu ya mchezo, Mechi inaendelea

Ulimiss Maswali 9 aliyoyajibu Samatta baada ya kuungana na Taifa Stars mazoezini leo itazame hii video hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments