Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mbwana Samatta ajiunga klabu ya Royal Antwerp
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Mbwana Samatta ajiunga klabu ya Royal Antwerp
Sports

Mbwana Samatta ajiunga klabu ya Royal Antwerp

September 1, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta (28) amejiunga na club ya Royal Antwerp ya Ligi Kuu Ubelgiji kwa mkopo wa msimu mzima wenye kipengele cha kumnunua jumla mwisho wa msimu, Antwerp iko Kundi D na Fenerbahce Europa League.

Samatta anarejea Ubelgiji tena baada ya kuondoka KRC Genk January 2020 na kujiunga na Aston Villa aliyodumu nayo kwa miezi sita na kisha kujiunga na Fenerbahçe ya Uturuki alikodumu kwa mwaka mmoja.

Samatta akiwa Ubelgiji na KRC Genk aliyodumu kwa miaka mitano na kutwaa taji la Ligi Kuu nchini humo alicheza jumla mechi 191 na kufunga magoli 76 na assist 20.

MORRISON WA SIMBA SC AMCHARUKIA MANARA AMWAMBIA “USIUNG’ATE MKONO ULIOWAHI KUKULISHA”

MANARA KAFUNGUKA BAADA YA YANGA SC KUFUNGWA “KUFUNGWA SIO AJABU”

You Might Also Like

Pochettino Kocha Mpya Chelsea

Mario Balotelli atabiri fainali ya Man City vs Inter Milan juni 10

Cristiano Ronaldo kuondoka Al-Nassr adaiwa kuwasiliana na Real Madrid

Picha: Yanayojiri kwa Benjamini Mkapa, mashabiki wafurika nje kushuhudia mechi ya Yanga SC dhidi ya USM Alger

Live: Ali Kamwe aongoza Shangwe la Fainali Mbagala Zakheim, Tazama kinachoendelea muda huu

Edwin TZA September 1, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 1, 2021
Next Article Nandy ngumi mkononi, maandalizi ya Nandy Festival Dar es Salaam
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Top Stories

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?