Michezo

Mbwana Samatta aweka wazi uongozi unaosimamia shughuli zake

on

NI Headlines za mchezaji Mbwana Samatta ambae time hii ameweka wazi juu ya uongozi unaosimamia shughuli zake, mchezaji huyo anayekipiga kwenye club ya Aston Villa kupitia ukurasa wake wa twitter aliwajulisha mashabiki na kuandika ‘Ningependa kuwataarifu Kuwa kampeni zote za matangazo na biashara zitakuwa zinafanyika chini ya Emmanuel Ale, Tafadhali piga/WhtsApp +255768259371’- Samatta 

Maamuzi hayo yamefanywa na mchezaji huyo baada ya hivi karibuni kuibuka kwa watu wasiojulikana wakidai wanamsimamia Mbwana Samatta huku wengine wakifunguka feki akaunti zenye jina la Samatta wakiomba misaada mitandaoni.

 

Soma na hizi

Tupia Comments