Top Stories

VIDEO: Mabishano Mahakamani CHADEMA vs POLISI, Mbowe atoa kauli

on

Leo April 17 2018, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alifika Mahakamani Kisutu na Viongozi wengine 8 wa Chama hicho kwa ajili ya kufatilia kesi inayowakabili, baada ya kesi kuahirishwa Mbowe alitaka kuzungumza na Waandishi lakini alizuiliwa na Polisi kwa madai haruhusiwi kuzungumza na vyombo vya habari akiwa eneo hilo, tazama hii video hapa chini

Mbowe na Viongozi 8 wa CHADEMA baada ya kusikiliza kesi yao

Soma na hizi

Tupia Comments