Michezo

Unadhani Mbwiga ni mkali wa maneno tu, cheki video akionyesha uwezo wa kucheza ndombolo

on

Screen Shot 2014-05-31 at 1.48.58 AMMbwiga wa Mbwiguke ni mkali wa maneno mengi na anasikika kwenye show za Sports Extra na Power Breakfast zote za Clouds FM ambapo nilikua sijui mkali huyu ambae anakubalika na mashabiki wa soka, ni shabiki mkubwa wa muziki wa Kongo na anaucheza pia.

Tupia Comments