Michezo

Msikilize Mbwiga wa April 18.

on

footballKila Ijumaa kupitia Sports Extra unapata nafasi ya kuusikiliza Udambwi dambwi wa Mbwiga moja kwa moja akiwa studio,tukiwa tunaelekea kwenye mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga Mbwiga kazungumzia pia timu hizo zilipokutana mwaka 1972 ambapo mechi hiyo haikumalizika vizuri.

88.5 Clouds Fm inasikika ukiwa Pwani.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments